STANDARD 4 TERMINAL EXAMS SERIES


EXAM SERIES EXAM

OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
SAYANSI- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA NNE
MUDA: 1.30
MAELEZO KWA MTAHINIWA
 1. MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 25
 2. JIBU MASWALI YOTE
 3. ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
 4. KAZI YAKO IWE SAFI.
1. SEHEMU A. CHAGUA JIBU SAHIHI
(i) Rangi ya kijani katika mimea huitwa
 1. usasini
 2. umbijani
 3. usasini nuru
 4. majani
(ii) Vifuatavyo ni vyanzo vya umeme isipokuwa
 1. Jenereta.
 2. Jua.
 3. Sufuria 
 4. Betri.
(iii) Ni ugonjwa upi ambao hausababishwi na maji machafu?
 1. Malaria
 2. Kichocho
 3. Homa ya matumbo
 4. Kipindupindu
(iv) Mojawapo kati ya makundi yafuatayo ya wanyama hutaga mayai..
 1. Kuku, popo, mamba
 2. Bata, chura, mbwa.
 3. Kuku, bata, mbu
 4. Popo, kinyonga na kuku
(v) Mtu anayeota moto hupata joto kwa njia ya.
 1. Mnunurisho na msafara
 2. Mpitisho na msafara
 3. Myuko na mpitisho
 4. Mgandamizo wa hewa
2. SEHEMU B. Jaza jibu ambalo ni sahii.
 1. Jua ni chanzo kuku cha……….duniana
 2. Mwanga husafiri katika mstari……………………………
 3. Kifaa kinachotumika kunyoosha nguo na kuzifanya zionekane nadhifu huitwa…… …………..
 4. Sauti iliyoakisiwa huitwa………………………
 5. Maji yakichemshwa hubadilikana kuwa………………….
 3.  SEHEMU C. Andika ndio au Hapana.
 1. Selihai nyeupe za damuhulinda miili yetu dhidi ya magonjwa……
 2. Inafaa kumtenga mtu wa ukimwi na watu wengine…………………
 3. Nyeso daraja la tatu, jitihadi huwa kati ya egemeo na mzigo………..
 4. Kifua kikuu huambukizwa kwa kunywa maji yasio salama…….
 5. Huduma ya kwanza hutolewa kulingana na aina ya tatizo………..
4.  SEHEMU D. Oanisha maneno katika sehemu A kwa kuchagua majibu katika sehemu B.
Sehemu A
Sehemu B
 1. Gesi inayotokana na taka za wanyama
 2. Hewa itolewayo wakati wa upumuaji
 3. Gesi ambayo ni muhimu kwa uhai wa viumbe na moto kuwaka
 4. Hewa iliyokwenye mwendo
 5. Mvuke unaogannda na kusababisha mvua
 1. Hewa 
 2. Upepo 
 3. Mawingu 
 4. kabonidayoksaidi
 5. Oksijeni
 6. Gesi vunde
 7. Haidrojeni
 5. Sehemu E.  Andika vifaa vinne nyumbani ambavyo hutumia nishati ya umeme
 1. ………………………………………………………………………………………………
 2. ………………………………………………………………………………………………
 3. ……………………………………………………………………………………………....
 4. ………………………………………………………………………………………………
 5. ………………………………………………………………………………………………


STANDARD FOUR SAYANSI EXAM SERIES 13
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MAARIFA YA JAMII- MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA
DARASA LA NNE
MUDA: 1.30 
MAELEZO KWA MTAHINIWA
 1. MTIHANI HUU UNAMASWALI JUMLA YA 25
 2. JIBU MASWALI YOTE
 3. ANDIKA MAJIBU KWA HERUFI KUBWA
 4. KAZI YAKO IWE SAFI.
1. A. SEHEMU A: CHAGUA JIBU SAHII
(i) Mgawanyo wa kazi katika familia…………….
 1. Hupunguza uvivu
 2. Hupunguza uadui
 3. Hurahisisha kazi
 4. Hupunguza marafiki
(ii) Ni kitendo kipi kinachangia kuharibu mazingira?
 1. Kulima
 2. Kukata miti
 3. Kupanda maua
 4. Ufugaji wa nyuki
(iii) Umwinyi ni mfumo wa kiuchumi uliokuwa umeenea sana maeneo gani?
 1. Unyamwezi
 2. Pwani 
 3. Uchagani
 4. iringa
(iv) Zifuatazo ni bahari zilizolizunguka bara la africa
 1. Shamu,pasifiki,kusi na hindi
 2. Hindi, antaktiki, shamu na kati
 3. Pasifiki, kati, shamu, antaktiki
 4. Hindi, atlantik, shamu na kati
(v) Ramani huchorwakwenye;
 1. Barabara, mji, kijiji
 2. Kitambaa, ubao ardhini
 3. Nyumba, shule au njia
 4. Daftari, uwanja au chombo
2. SEHEMU B. Jaza jibu ambalo ni sahii.
 1. Joto la binadamu upimwa kwa kifaa kinaitwa…………………………..
 2. Mojawapoya madhara ya mvua nyingi ni………………………………….
 3. Vipengele vine vya hali ya hewa ni…………………………………………..
 4. Hali ya hewa inabadilika………………………………………………………..
 5. Sehemu panapotengenezwa na kuundia vitu panaitwa……………
3.  SEHEMU C. Andika ndio au Hapana.
 1. Vumbi na moshi huchafua hewa………………..
 2. Chanzo chamvua ni mvuke upaao angani
 3. Tufuge mifugo mingi ili tuepuke uharibifu wa mazingira……………
 4. Bila uoto, binadamu hawezi kupata mahitaji yake ya msingi ya maisha………….
 5. Ukeketaji ni mojawapo wa mila zinazofaa………….
4. SEHEMU D. Oanisha maneno katika sehemu A kwa kuchagua majibu katika sehemu B.
Sehemu A
Sehemu B
 1. Kipindi cha miaka 100
 2. Siku ya nyerere
 3. Ni mkusanyiko wa familia
 4. Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 5. Mpunga, nazi na chumvi
 1. 14 octoba
 2. Mazao kutoka pwani
 3. karne
 4. mwaka 1994
 5. ukoo
 6. 19 0ctoba
 7. nafaka
 5. Sehemu E. 
Jaza nafasi zilizoachwa wazi.
 1. Fuvu la mtu wa kale zaidi liligunduliwa na……………………… 
 2. Zama za ……………………..zimegawanyika katika sehemu tatu kuu.
 3. Wahunzi walijitokeza wakati wa zama za…………………………………
 4. Binadamu alianza kutembea kwa miguu miwili katika zama za mawe za…………… …………..
 5. Binadamu alianza kuishi katika makazi ya kudumu katika zama za mawe za………… …………….


STANDARD FOUR MAARIFA EXAM SERIES 12
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD FOUR
TIME: 1.30 HRS                                                           2020
NAME:____________________________________CLASS:___________
                   INSTRUCTIONS
 1. This examination has 5 sections A, B, C and D with 5 questions
 2. Answer all questions in each section.
 3. All answers should be written in capital letters.
 4. Write your three names, school, District and Region.
 5. Make sure your work is neat.
 SECTION A: MULTIPLE CHOICES
1. Choose the most correct answer and then write its letter in the box given.
1. Abushiri bin Salum, Mtemi Isike and Mtwa Mkwawa were the popular ____ found in Tanganyika.
 1. opposers    
 2.  heroes   
 3.  soldiers  
 4.  priests            [          ]
2. How do we call a person who owned land and cattle during feudalism.
 1. tenants    
 2. bagabire   
 3. land lord        
 4. ruling class    [       ]
3. The degree of hotness and coldness of a place is measured by________ [         ]
 1. temperature 
 2. degree centigrade 
 3. thermometer 
 4. precipitation
4. A group of not less than 250 households in rural areas s known as__________ 
 1. A hamlet 
 2. a street   
 3. a village   
 4.  a city              [          ]
5. Which can help to conserve environment among the following______________ 
 1. overstocking 
 2. bush fires     
 3. uncontrolled sewages from industries
 4.  recycling process                                     [      ]
6. The sun rise and set (day and night) are resulted from the so called _[               ]
 1. Earths revolution 
 2.  lunar eclipse
 3. deforestation
 4.  earth rotation
7. The highest mountain in east Africa is found in  ____________ [          ]
 1. Mount Kilimanjaro 
 2. Kenya 
 3. south Africa 
 4. Tanzania
8. There are two types of disasters.Which are________ 
 1. traditional and modern 
 2. small and big 
 3. natural and man made
 4. topographical and statistical
 SECTION B: MATCHING ITEMS
2. Match the following items correctly
LIST A LIST B
 1. Sebuja
 2. Umwinyi
 3. Communalism
 4. ubugabire
 1. Existed and practiced in western part of Tanzania, Rwanda and Burundi
 2. Western part of lake Victoria among buhaya societies.
 3. The first non-exploitive mode of production where products were equally shared.
 4. Existed and practiced along the coast of Tanzania.
 5. Mode of production whose base was land.
 6. Cattle owners in Ubugabire feudal system
 7. Workers in Unyarubanja feudal system
 SECTION C:
3. Use words in the box to fill the blanks below
Taboos, culture, customs, traditions,                                 religion, language,
dressing, arts
(i) _______  being the totality way of people’s life makes people live in peace
and harmony. There are some things which have been experienced for long period of time called  .These are inherited from one generation to another. Elders help young ones to know the accepted ways of people’s behaviours in their society
known as________ and those habits or things which are not allowed to be
done called_______ . Community members have one means of communication
 but they may decide worshipping in different . Several production activities and creativities may be done with the society. Some may engage themselves in farms and others in creating different artistic tools. Dressing styles are advised to be of good morals.
SECTION D
WRITE TRUE OR FALSE IN THE GAPS
4. The son of your uncle is a nephew……………..
5. Chief mkwawa was a leader of chagga people…………
6. A local museum is found in big towns in Tanzania………….
7. Communalism was the first mode of production………………..
8. Some clans were headed by women…………


STANDARD FOUR SOCIAL EXAM SERIES 11
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
SCIENCE- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD FOUR
TIME: 1.30 HRS                            2020
NAME:________________________________CLASS:___________
                         INSTRUCTIONS
 1. This examination has 5 sections A and B with 5 questions
 2. Answer all questions in each section.
 3. All answers should be written in capital letters.
 4. Write your three names, school, District and Region.
 5. Make sure your work is neat.
 SECTION A
1. Answer items (1) –(5) by choosing the correct answer and writing its letter in the boxes provided
1. Sharing sharp objects such as razor blade, needles and   syringes may cause;
 1. Cholera
 2. Tuberculosis
 3. Malaria
 4. HIV/AIDS.
2. Gastric juice is produced in the …………………………
 1. Mouth
 2. Ileum
 3. Stomach
 4. Colon.
3. The state of being free from sickness or injury is called
 1. Hygiene
 2. Health
 3. Patient
 4. Disease
4. Which one of the following is NOT true about light?
 1. Light travels in a straight line
 2. Light can bend
 3. Light can be reflected
 4. Light cannot bend
5. The other name of protective food is known as 
 1. Vegetable
 2. Fruits
 3. Protein
 4. Vitamins.
SECTION B.
Answer the questions items (i) –(ii) by matching the description of parts of the  radio which are in List “A” and the parts of the radio which are in List “B”
LIST A
LIST B
6. Used to search station
7. Used to catch waves
8. Used to carry the radio
9. It outputs sound
10. Used to put on radio
 1. Antenna
 2. Switch
 3. Meter band
 4. Volume button
 5. Speaker
 6. Handle 
 7. Sound equilizer
 SECTION  C.
Refrigerator, cooker, ICT, Firewood, Stove, Remote control
 Answer the questions in items below by choosing the correct word from the box and write it in the blank spaces.
11.  Which instrument helps to select the channels on TV and to turn the TV on?.....................
12.  Which one is a modern method of electronic learning in schools?.........
13.  ……………..is used to keep our food and drinks cold.
14.  A device used for preparing, cooking and drying food is……………..
15. The type of cooker in which three stones are arranged in such a way that a pot or utensil   sit on them is called………………………………….
SECTION D.
Write true for a correct statement and false for incorrect statement..
16. Not all animals needs water to survive…………..
17. Once a plant gets light, it does not need suitable temperature.
18. You can get scientific solution by oral work………..
19. Plants obtain water from the soil………….
20. Development in science and technology depends much on     scientific investigation ………………
SECTION E.
Answer the following questions briefly.
21. Name two communicable diseases
22. What organism causes malaria?
23. Name a disease that affect respiratory system
24. What is a balanced diet
25. Name the food that protects us from diseases.


STANDARD FOUR SCIENCE EXAM SERIES 10
OFISI YA RAIS WIZARA YA ELIMU, TAWALA ZA MIOA NA SERIKALI ZA MITAA
MTIHANI WA MWISHO MWAKA-KISWAHILI
DARASA LA NNE
MUDA: 1.30                                                  2020
JINA:_______________________________MKONDO:___________
          MAELEKEZO
 1. Mtihani huu una sehemu A, B, C, D na E zenye jumla ya maswali 5
 2. Jibu maswali yote katika kila sehemu.
 3. Majibu yote yaandikwe kwa herufi kubwa ISIPOKUWA Imla.
 4. Andika majina yako matatu, shule, wilaya na mkoa kwa usahihi.
 5. Hakikisha kazi yako ni safi.
SEHEMU A:
IMLA:
 Sikiliza kwa makini sentensi utakazosomewa kisha uziandike kwa usahihi
 1.                                            .
 2.                                             .
 3.                                             .
 4.                                             .
 5.                                             .
SEHEMU B: MATUMIZI YA LUGHA
 Chagua herufi ya jibu sahihi
6. Neno lipi halilandani na mengine                                                       
 1. Mawio
 2. Macheo
 3. Machweo
 4. masika
   7. Ni neno lipi haliwezi kutokana na jina mwanchi?                                  
 1. Nchi
 2. Mwana
 3. Mchi
 4. mwamko
  8.  Yupi kati ya hawa ni lazima awe mwanamke?                                       
 1. Mjomba
 2. Binamu
 3. Mpwa
 4. ajuza
9. Tukitaka kufaulu mtihani yetu_________________ kusoma kwa bidii 
 1. sina budi
 2. hamna budi 
 3. hawana budi
 4. hatuna budi
10. Wamekuja wote_______________ Munira ambaye anaumwa                
 1. ingawa
 2. isipokuwa
 3. pamoja
 4. lakini
SEHEMU C: LUGHA YA KIFASIHI
11.  Malizia methali hii, Ukitaka kuruka _________________ 
12.  Japo kuna maktaba nyumbani kwao lakini Joni hapendi kukaa na kujisomea, mara nyingi Juma huenda kwa akina Joni kuomba muda japo kidogo apate kusoma vitabu. Juma anatamani mno kuwe na maktaba nyumbani kwao lakini wazazi wake hawana uwezo huo. Methali ipi inafaa kwa maelezo haya
13.  Mwenyekiti ameahirisha kikao baada ya wajumbe kuja wamevaa miwani,
 nahau vaa miwani ina maana gani?          

14.  Andika nahau iliyo kinyume na ile isemayo tia moyo____________ 
SEHEMU D: UTUNGAJI
Weka alama za uandishi katika sentensi zifuatazo kwa kuandika alama sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi
15. Utamaliza kazi yako saa ngapi ______________ 
16. Ebo   amemaliza ugali wote ule………………..
17. Juma  Sharifu na Ayubu wamegombana…………..
18. Shangazi amekwenda kumpokea baba___________ 
19. Watoto wataletwa na nani………….   
SEHEMU E: UFAHAMU
Soma habari ifuatayo kwa makini kisha jibu maswali yafuatayo
Tulianza safari alfajiri ya saa kumi na moja.Ulikuwa ni umbali wa kilomita
sitini kutoka pwani hadi kwenye mazalia ya samaki. Baada ya kufika mjengi alitushauri tutege nyavu chache tu kwani hali ya hewa haikuridhisha. Baada ya kutega tulianza safari ya kurudi pwani . Ghafla tulipigwa na dhoruba . Jahazi
lilianza kuyumba na tanga letu likararuka. Haraka mimi na Mwekwa tulitweka tanga la akiba na kulifunga chapuchapu. Msengi na Hongoa walichukua buli na kuanza kutoa maji yaliyokuwa yanaingia jahazini. Tulipata shida mno, baada ya siku mbili majini tuliwasili salama pwani. Tuliponea chupuchupu, tulikata tamaa na kusubiri miujiza ya Maulana ili tubaki hai.
MASWALI
20. Msimuliaji wa habari hii na wenzake wanafanya kazi gani? __________ 
21. Kulikuwa na watu wangapi katika jahazi ?__________ 
  22. Kitambaa maalumu kinachofungwa katika jahazi ili kulisaidia kutembea kinaitwaje?_________ 
23. Andika nahau moja iliyotumika katika habari hii _________ 
24. Taja kisawe cha neno Maulana kama lilivyotumika katika habari hii


STANDARD FOUR KISWAHILI EXAM SERIES 9
THE PRESIDENT’S OFFICE MINISTRY OF EDUCATION, LOCAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT
ENGLISH- TERMINAL EXAMINATION-MAY
STD FOUR 
TIME: 1.30 HRS                                                  2020
NAME:_________________________________CLASS:___________
INSTRUCTIONS
 1. This examination has 5 sections A, B, C , D and E with 5 questions
 2. Answer all questions in each section.
 3. All answers should be written in capital letters EXCEPT dictation
 4. Write your three names, school, District and Region.
 5. Make sure your work is neat.
SECTION A: DICTACTION
1. Listen carefully to the teacher then write the words or sentences correctly
 1. …………………………………………………………………………
 2. …………………………………………………………………………
 3. ………………………………………………………………………..
 4. …………………………………………………………………………
 5. …………………………………………………………………………
SECTION B: VOCABULARY
2. Use words given in a box below to answer the questions in items (i-v) that follows.
Dozen, nestlings, trumpets, green grocer, adjective, crockery, barber, cutlery, noun, pair, chatters
 1.  She went to the shop and buy a________________ of shoes
 2. When we were at the park we heard elephants’_________ 
 3. Spoons, knives and forks are collectively called ________ 
 4. Slowly is to adverb as death is to____________________ 
 5. We normally go to the_____ to buy fruits, vegetables and other
   items.
SECTION C: GRAMMER & TENSES.
3. Choose the most correct answer and write its letter in the box provided.
(i) The plural form of the word cattle is  ______________________ 
 1. Cattles
 2. Kettles
 3. Cattle
 4. kettle
(ii) Aneth is the girl ______________ exercise book was burnt yesterday 
 1. Whom
 2. Who
 3. What
 4. whose
(iii) James has already____________ her homework                                 
 1. Did
 2. Do
 3. Done
 4. doing
(iv) She________________ my school fees last week                                                      
 1. payed        
 2. pay           
 3. paid              
 4. pays
SECTION D: COMPOSITION
4. Choose the correct word from the brackets provided in each question.
 1. Mount Kilimanjaro is the ………………..mountain in africa. (high, highest, higher)
 2. The shortest month in the year is……………(October, June, February)
 3. He goes to school………………….foot(on,by, with)
 4. Is there……….oil in the bottle?(any, a, an)
 5. A…………..makes and salesbread( shopkeeper,baker)
SECTION E: COMPREHENSION
5. Read the passage bellow carefully then answer all questions that follow
Every Wednesday our teacher takes us to the library. Each pupil chooses a book to read at home. Charity likes to read books about animals. He finds a book about elephants on the book shelf.
Salustia knows how to use the computer. She wants to print a picture of Mount Kilimanjaro for her project. Oh: No! The printer has run out of ink. Our teacher gets ink from the cupboard. Now the printer is working again.
QUESTIONS.
 1. What did Salustia want to print? ______________________________ 
 2. Who takes children to the library? _____________________________ 
 3. Where is the book about elephants? ____________________________ 
 4. On which day of the week does the teacher send pupils to the library?
 5. How did the teacher help Salustia?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

buttons=(Accept !) days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !