-->

KISWAHILI FORM 4 SYLLABUS

 1. Kuongeza Msamiati Wa Kiswahili
  1. Uundaji wa Maneno
   1. Elezea njia mbalimbali za uundaji maneno
   2. Elezea mazingira yanayoelezea kuhitaji maneno mapya
   3. Unda maneno katika miktadha mbalimbali
 2. Ukuaji Na Ueneaji Wa Kiswahili Enzi Ya Waingereza Na Baada Ya Uhuru
  1. Ukuaji na ueneaji wa Kiswahili katika enzi ya Waingereza
   1. Elezea mambo waliyochangia waingereza katika ukuaji wa Kiswahili nchini Tanzania
  2. Ukuaji na Ueneaji wa Kiswahili baada ya Uhuru
   1. Elezea shughuli mbalimbali zinazowezesha kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini
   2. Elezea dhima ya kila asasi inayokuza Kiswahili
 3. Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi
  1. Uhakiki wa Ushairi, Tamthiliya na Riwaya
   1. Fafanua vipengele vya uhakiki
   2. Baini taarifa muhimu za mwandishi wa kila kitabu
 4. Kutunga Kazi Za Fasihi Andishi
  1. Utungaji wa Mashairi
   1. Fafanua mambo ya kuzingatia katika utungaji wa mashairi
 5. Uandishi
  1. Uandishi wa Insha za Kiada
   1. Elezea muundo wa insha za kaida
  2. Uandishi wa Hotuba
   1. Elezea muundo wa hotuba
  3. Uandishi wa Risala
   1. Elezea muundo wa risala
  4. Uandishi wa kumbukumbu za Mikutano
   1. Elezea mambo ya kuzingatia katika uchukuaji wa kumbukumbu za mikutano
 6. Ufahamu
  1. Ufahamu wa Kusikiliza
   1. Jibu maswali ya habari uliyosikiliza
   2. Fupisha habari
  2. Ufahamu wa Kusoma
   1. Jibu maswali kutokana na habari ndefu uliyosoma
   2. Fupisha habari ndefu uliyosoma
Show comments
Hide comments

Back to Top