Saturday, April 26, 2025

Majina ya walioitwa kwenye usaili Jeshi la Polisi

  Nophsky       Saturday, April 26, 2025
...
VITUO VYA USAILI AJIRA ZA POLISI APRIL 2025

Jeshi la Polisi Tanzania Lina waalika wasailiwa wote waliochaguliwa kufanya usaili baada ya kupita kwenye maombi ya Ajira za Polisi mwaka 2025

Recommended:


Overview

Tanzania Police Force TPF Recruitment Portal (ajira.tpf.go.tz) is an online platform designed to streamline the application process for individuals aspiring to join the police force. It allows applicants to explore available positions, submit applications, and monitor the status of their applications.

Key Features:

  • User-Friendly Interface: The portal is designed to be intuitive and easy to navigate, ensuring that applicants can find information and complete applications without difficulty.​
  • 24/7 Access: Applicants can access the portal at any time, from anywhere with an internet connection, providing flexibility in the application process.​
  • Secure and Confidential: The portal prioritizes the protection of personal information, ensuring that all data submitted remains confidential.​
  • Real-Time Updates: Applicants can track the status of their applications and receive timely notifications about upcoming stages in the recruitment process.​

Application Process:

  • Visit the Portal: Navigate to https://ajira.tpf.go.tz/.​
  • Register an Account: If you’re a new user, click on the “Register” button and provide the required personal and contact information. Ensure you meet the eligibility criteria, such as Tanzanian citizenship, minimum age requirement (typically 18 years), and necessary educational qualifications.
  • Log In: After registration, log in using your credentials.​
  • Explore Vacancies: Browse available positions and select the ones that align with your qualifications and interests.​
  • Submit Application: Fill out the application form with accurate and up-to-date information, attach necessary documents, and submit your application.​
  • Track Application: Monitor the status of your application through the portal and stay informed about any updates or further steps.

 

Hivi hapa vituo vya Usaili kwenye ajira hizo

TARATIBU ZA USAILI KWA KATEGORIA MBALIMBALI ZA ELIMU

1. Waombaji Walio na Shahada, Stashahada na Astashahada (Diploma na Cheti):

Kwa vijana waliohitimu katika ngazi ya elimu ya juu, yaani Shahada, Stashahada na Astashahada, wanatakiwa kuhudhuria usaili jijini Dar es Salaam.
Usaili huu utafanyika katika eneo la uwanja wa gwaride uliopo Kambi ya Polisi (Police Barracks), barabara ya Kilwa, nyuma ya kituo cha Polisi cha Kilwa Road.

2. Waombaji Waliohitimu Kidato cha Nne na Kidato cha Sita:

Kwa wale waliohitimu sekondari (yaani kidato cha 4 na 6), usaili wao utafanyika katika mikoa waliyowasilisha kama chaguo la eneo la usaili walipokuwa wanajaza fomu ya maombi mtandaoni. Hii inamaanisha kuwa kila msailiwa atafanyiwa usaili katika Mkoa wa Kamanda wa Polisi waliouchagua awali.

3. Waombaji Kutoka Zanzibar:

Kwa vijana wanaotoka visiwani Zanzibar, ratiba ya usaili imepangwa kama ifuatavyo:

  • Kwa walioko Unguja: Usaili utafanyika katika Makao Makuu ya Polisi Zanzibar (eneo la Ziwani).
  • Kwa walioko Pemba: Watatakiwa kufika katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kusini Pemba (eneo la Chakechake).

VITU VYA KUWASILISHA WAKATI WA USAILI

Kila msailiwa lazima afike na nyaraka zifuatazo siku ya usaili:

  • Vyeti halisi vya elimu (Academic Certificates)
  • Cheti cha kuzaliwa
  • Kitambulisho cha Taifa cha NIDA au namba ya NIDA
  • Nguo na viatu vya michezo (kwa ajili ya mazoezi ya vitendo)

Read Also:

Kumbuka: Msailiwa yoyote atakayewasili baada ya tarehe 28 Aprili 2025 hataruhusiwa kushiriki katika usaili. Hivyo, ni muhimu kufika mapema kwa mujibu wa ratiba husika.


DOWNLOAD PDF HAPA

...
logoblog

Thanks for reading Majina ya walioitwa kwenye usaili Jeshi la Polisi

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment